TAREHE 28 MWEZI WA 7 | 2018
kutakuwa na USIKU wa singeli Yaani nani HATAZIMA
kati ya
MUDY MSANII na MEJA KUNTA
ndani ya ukumbi wa FEST and LAST kiwalani kwa BINT MUSA
kutakuwa na show za kibabe na kutakuwa na madj kibao wa mziki wa singeli
unakosaje kwa mfano
Bila kusahau ladha za singeli zote unazo zijuwa utapata
na show imezaminiwa na
SMART AFRICA